VIDEO | Harmonize – Sina | Watch/Download

Harmonize - Sina

2 thoughts on “VIDEO | Harmonize – Sina | Watch/Download

  1. Hivi nyimbo Harmonize ina uhusiano gani na Ali Kiba??, nashangaa sana mtu ana-comment ana mdisi Kiba.., nyie ndio mnaendeleza mabifu yasiyo na maana.., kila msanii ana mpangilio wa kazi zake, ndiyo maana ratiba zinatofautiana.. Kama issue ni kutoa nyimbo nyingi kila siku, basi muwashindanishe WCB na Aslay…. Ila mkumbuke wengine wanahitaji kuachia album zao, ndio maana wanatoa nyimbo asubuhi na jioni (Mfano: Rich Mavoko)..

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *