EP | Andre K & Slimsal (DDC) – ELIMU YA JUU | Download

Kutoka Dom Down Click (D. D. C) ni ANDRE K anakuletea ‘EP’ iliyopewa jina la ‘ELIMU YA JUU’.
Akiwa amemshirikisha sleam sal , maarifa big thinker .adam shule kongwe na ,therapist mdundishaji wa midundo akiwa sleam sal na mchanganyaji sam chard
EP hii imebeba nyimbo nne zikiwa zimejikita katika Elimu ya Juu (Chuo Kikuu). Nyimbo hizi zinazotoa picha halisi ya maisha ya vyuoni.

EP hii ni mwongozo kwa watu wanaotaraji kwenda vyuoni, muongozo kwa waliopo chuoni pia ni mwalimu kwa watu wengine ambao hawapo chuoni kwa kuwa watajifunza kwa kiasi kikubwa maisha yaliyopo vyuoni
sambaza hii ep wimbo ambao ni wa kuchezwa redioni ni no  4 ambao unaitwa bora usingeenda shule

[BONYEZA HAPA KUSKILIZA/KUPAKUWA HIZO NYIMBO]


ad

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *