AUDIO | Nini – WIMBO HUU | Download

Download Nini Wimbo huu

DOWNLOAD

Wimbo huu” ni wimbo ulifanywa na msanii kutoka Tanzania anaeitwa Nini. Wimbo wa kwanza kutoka kwenye album yake ya kwanza iliyopewa jina la “Ni nini?” Wimbo huu” ni mchanganyiko wa zouk na Afro pop , wenye vionjo vya “Saxophone”, na rhythm za pwani na midundo ya kiafrika.
Kimashairi “Wimbo huu” unazungumzia mahusiano ya mbali ya wapendanao haswa pale ambapo wimbo unapokuwa na nguvu ya kukumbusha kuhusu mwenza wako aliyepo mbali, hivyo unakufanya uusikilize kila wakati unapomkumbuka.
Umetengenezwa na kuandikwa na Daxo Chali katika studio za MJ Records.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *