Home Audio AUDIO | Nikki Mbishi – I’m Sorry JK | Download

AUDIO | Nikki Mbishi – I’m Sorry JK | Download

IamSorryJK ni kazi ya kwanza kutoka kwa Nikkimbishi kwa mwaka 2017. 
Kama nilivyoahidi mwaka huu kwa majaaliwa yake mtoa pumzi(M/Mungu),nitaachia wimbo huu kuzifariji nafsi ambazo ni wahanga wa hali ya nchi yetu kulingana na UTAWALA
Sina maana ya kusifu na kutukuza mema ya uongozi uliopita na kuutia fedheha uongozi uliopo lakini kila aliye SHAHIDI wa hali halisi na aupokee wimbo huu kwa mikono miwili.
Wako katika uwajibikaji,
Nicas J Machuche alias @nikkimbishi
IamSorryJK @2017
Mungu Kwanza

DOWNLOAD 

JIUNGE NAMI KUPITIA 
Previous articleHARDMAD – Imebaki Story Instrumental | Download
Next articleAUDIO | Katumba Moses – Bayana yangu | Download [Gospel]