Tunaendelea na Kipengele Chetu Cha “UNAIKUMBUKA HII?” Kila siku Ya ALHAMIS #TBT(Throwback Thursday)
Tutakuwa Tunaweka Wimbo Wa Bongo Flaver, Rnb, Hip Hop Wa Muda Kidogo
Wiki iliopita Tuliweka Ngoma ya RayVan[Raymond] – FURAHA
LEO Tuko na Hitmaker Wa “MUZIKI” Darassa Alishawahi Fanya Kazi Na Lameck Ditto
Kazi Inaitwa ” Weka Ngoma” Imetayarishwa Na Tuddy Tomas
Isikilize Hapo Chini.
JIUNGE NAMI KUPITIA