AUDIO&VIDEO | SEBA TOMMY Ft. ROMMY – ASANTE | Watch/Download

Seba Tommy ni msanii anaefanya Vizur kweny industry ya muziki wa bongo fleva ambae anatamba na ngoma nying ikiwemo silali doro , Adindo na kadhalika lakin pia kw sasa ameachia ngoma mpya ikiambatana na Video inayoitwa Asante , ngoma inaendelea kufanya vzuri katika vituo mbalimbal vya media..hata hivyo mbali na kuimba pia Seba Tommy ni mtunzi wa nyimbo zenye mahadhi mbalimbali. Msanii huyo aliopo katika lebo ya studio za Vinny Music Lab ataendelea kufanya vizur zaidi.

JIUNGE NAMI KUPITIA 
ad

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *