New AUDIO[Kionjo] | DIAMOND PLATNUMZ x NEYO – I Will Marry You[KIONJO] | Download

Wimbo mpya wa ‘Marry You’ wa Diamond aliomshirikisha Ne-Yo Ulichezwa kwa mara ya kwanza kupitia kituo cha radio cha Uingereza, Capital Xtra Radio ya nchini Uingereza.
Hiki apa ni Kionjo Cha Wimbo Huo Utakao Toka ivi Karibuni
Huu ni wimbo wa pili wa hitmaker huyo wa Salome kuchezwa nchini Uingereza baada ya wimbo wa ‘Kidogo’ kuchezwa kwenye kituo cha BBC Radio 1Xtra tangu mwezi Agosti mwaka huu.
djmwanga1bdownloadlogo