Ni mkali wa freestyle na tumemsikia kwenye covers kama Asanteni kwa kuja ya Mwana F.A, Chafu pozi ya Billnass na pia anamiliki hits kama Super Marioo, Sijali na nyinginezo. Anaitwa Motra The Future, asili yake ni mkoa wa Arusha na leo ameiachia hii Exclusive “Yote ni maisha remix” na amemshirikisha Banana Zoro.
DOWNLOAD