Soko la muziki nchini limezidi kukua kwa mastaa wa muziki nchini kufanya kolabo kubwa na wasanii wengine Afrika na safari hii imekuwa kwa Joh Makini ambaye ameachia video yake mpya akimshirikisha Chidinma kutoka Nigeria.Video hii siyo ya kwanza kwa Joh Makini kufanya na wasanii wa nje kwani kama utakuwa na kumbukumbu kwa kipindi kisichopungua miezi nane iliyopita alitoa nyimbo na msanii wa Afrika Kusini, AKA.#Download Kazi Mpya ya Joh Makini ft. Chidinma – Perfect ComboDOWNLOAD HAPA
Download