AliKiba Ameamua Kuwapa Mashabiki Zake Haki Yao.

Baada ya kuvuja kwa ngoma ya #AJE ambayo sauti ya rapa mnigeria MI ilisikika Alikiba aliamua kutoa ngoma hiyo Rasmi ikiwa haina sauti ya rapa huyo kwa sababu ambazo alisema ni kuingiliana kwa ratiba zake na M.I .

Kwa mujibu wa Kiba ni kuwa wimbo uliovuja ulikuwa Demo (maana yake haujakamilika kufanyiwa mixingi, mastering n.k) Hata hivyo mashabiki bado waliendelea kuupenda na kuwa nao katika simu zao ,wengine wakikariri hadi mashairi ya M.I.


Sasa alikiba ameamua kuwasikiliza mashabiki na amekwenda kushoot video ya wimbo. Taarifa zaidi zinaeleza safari waliyokwenda na BarakaDaPrince kushoot video yao ya pamoja ndiyo pia aliyoitumia pia kushoot video hii aliyoipa jina la AjeRemix
UNAWEZA KUICHEKI HAPA CHINI.

https://goo.gl/Dpx8j4
JIUNGE NAMI KUPITIA 
Twitter: @djmwanga     
Instagram: @djmwanga     
Facebook Fans Page: DJMwanga

One thought on “AliKiba Ameamua Kuwapa Mashabiki Zake Haki Yao.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *