HIT ALERT: PAPA WEMBA Ft. DIAMOND PLATNUMZ SOON KWENYE SIKIO LAKO! KAA TAYARI

Ni mwezi kadhaa imepita toka tumempoteza Papa Wemba ambae alikuwa ameshafanya Collabo na Diamond Platnumz kutoka Tanzania.
 Hizi ni taarifa njema kwa wapenzi wa muziki wa Hayati Papa Wemba na Wapenzi wa Muziki wa Diamond Platnumz, Taarifa zilizonifikia ni kuwa tarehe 24 mwezi huu Collabo hii itaachiwa.
Endelea kutembelea www.djmwanga.com Kuwa wa Kwanza Kupakuwa.

Download DJMwanga Android Application Click HERE

https://goo.gl/Dpx8j4
JIUNGE NAMI KUPITIA 
Twitter: @djmwanga     
Instagram: @djmwanga     
Facebook Fans Page: DJMwanga