Msanii KB jina lake halisi ni Kulwa Bilal, ni
msanii chipukizi anayefanya vizuri sana kwenye hiii industry ya Muziki
Tanzania chini ya management ya Clarence_june22 Events, amejikita haswa
kwenye mziki wa bongo flavour hivi karibuni ametoa single mpya
inayoenda kwa jina la BINADAMUDOWNLOAD via HULKSHARE