Video ya Ay Ft Diamond Platnumz ‘Zigo’ yafungiwa,Maelezo yako hapa.

Katika kufuatilia maudhui ya vyombo vya utangazaji, mamlaka ya
mawasiliano Tanzania [TCRA] imebaini kuwa miziki ya video inayokiuka
kanuni za utangazaji kwa kuonyesha picha zisizozingatia maadili na
ambazo zinachochea watoto kuiga maadili mabaya.
Mfano wa nyimbo hizo ni pamoja na ‘Zigo’ ulioimbwa na Ay
akimshirikisha Diamond. Video za miziki ya aina hii zinaudhalilisha
utamaduni wetu na zinakinzana na kanuni za huduma za utangazaji
[Maudhui] 2005].

Download DJMwanga Android Application Click HERE

https://goo.gl/Dpx8j4
JIUNGE NAMI KUPITIA 
Twitter: @djmwanga     
Instagram: @djmwanga     
Facebook Fans Page: DJMwanga