Track hii ambayo inaelezea nusu ya maisha Ya Joh Harakati niliyopitia
mpka hapa leo nilipo na kila nilichokiimba kinanigusa mimi kwa 100% .
September 14 nilizaliwa na baada ya miaka 2 kupita baba
alifariki na kubaki na mama, kaka na dada pia, mama alikomaa mpka wote
tukapata misingi na tumezaliwa watoto 11, 2012 mama yetu mpendwa
alifariki. Nakupitia Track hii
alifariki na kubaki na mama, kaka na dada pia, mama alikomaa mpka wote
tukapata misingi na tumezaliwa watoto 11, 2012 mama yetu mpendwa
alifariki. Nakupitia Track hii
JIUNGE NAMI KUPITIA
Twitter: @djmwanga
Instagram: @djmwanga
Facebook Fans Page: DJMwanga