Diamond Platnumz ameshinda katika Kipengele cha FAVOURITE SONG OF THE YEAR (Nana) pamoja na FAVOURITE ARTIST OF THE YEAR.
Katika Mtandao wa Instagram Diamond Platnumz ameandika “Thanks
alot to my all Fans around the World, for your unconditional love and
Support that you been Giving me… i can’t even explain how grateful i am…
two awards on NollyWood & African People Choice Awards
@Africannafca
FAVOURITE SONG OF THE YEAR (Nana)
FAVOURITE ARTIST OF THE YEAR
thanks alot @Africannafca
(Naomba nitumie Muda huu kuwashkuru Mashabiki zangu wote kwa Mapenzi
na Sapoti yenu ya Dhati mnayoendelea kunipa…ningependa niwataarifu kuwa
kijana wenu mmeniwezesha kushinda tunzo mbili ambazo ni MSANII
ANAEPENDWA AFRICA na NYIMBO INAYOPENDWA AFRICA (#NaNa ) kwenye Tunzo za
NollyWood & African people Choice Awards @Africannafca zitazotolewa
tareh 12 /09 /2015 “.
JIUNGE NAMI KUPITIA
Twitter: @djmwanga
Instagram: @djmwanga
Facebook Fans Page: DJMwanga