Huu ni wimbo maalum ulioimbwa na kundi la WEUSI kwaajili ya kampeni ya
Zamu Yako 2015 iliyoanzishwa na kituo cha TV cha East Africa Television
na East Africa Radio ikiwa na lengo la kumuhamasisha kijana
kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura na pia kupiga kura
katika uchaguzi mkuu ifikapo mwezi oktoba
DOWNLOAD
JIUNGE NAMI KUPITIA
Twitter: @djmwanga
Instagram: @djmwanga
Facebook Fans Page: DJMwanga