PAUL LOOPS NA BEATSTAPE YA KUWASAIDIA WASANII WACHANGA WA HIPHOP

hiphop beats mixtape kwa ajili ya kuwasupport wasanii wachanga wasio na uwezo kwenye hiphop…

kimziki
wananiita Paul oops …have been working at b records material tabata
segerea na chizn brain,… nishafanya beats na couple of artists wakubwa
humu nchini, moja ngoma ambayo zimefanya vizuri ni no bifu ya marehemu
mngwea ft tid.. na ambazo zipo kwa sasa ni pamoja na leo ya mwasiti ft
godzilla na no love ya mdplant ft mrap na country boy… 
Lengo
la kufanya hii beatstape kwanza ni kuwapa artists ambao hawajiwezi
nafasi maana si kila msanii wa hiphop atamudu kiwango cha kurekodi
tofauti na wanaoimba coz wao udhamini wao unakua mkubwa na soko lao
linaeleweka, same goes to hiphop lakini imekua kwa bidii sana ya msanii
mpaka kufikia nia yake, hivyo niliamua kukaa na kwasababu i can create
zaidi ya beats kumi kwa siku kwanini basi nisiwasaidie hawa jamaa na
kuwapa nguvu na kuepuka utumiaji wa beats za watu wakati they can get a
fresh sound toka kwa maprodyuza wa nyumbani,..thanks Mkito hili zoezi
limekua rahisi hivyo any hiphop artists anaweza pakua beats kwa link
hii https://mkito.com/artist-profile/loopsonthebeats/7190 




Twitter: @djmwanga     
Instagram: @djmwanga     
Facebook Fans Page: DJMwanga

ad

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *