Official Video HD | Yamoto Band – Nisambazie Raha

https://youtu.be/q5lYMnjCkUE

Video Mpya kutoka kwa Yamoto Band Wimbo unaitwa Nisambazie Raha,
Video Hii imefanyika Hapa Nyumbani Tanzania na  Dir Isangi Mental.

Jumatatu Yamoto Band watakwea Pipa Kuelekea S.A kwenda kufanya Video ya
wimbo wao Mpya Cheza kwa Madoido na Dir Godfadher.Twitter: @djmwanga     
Instagram: @djmwanga     
Facebook Fans Page: DJMwanga

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *