Home Audio New AUDIO | Songa Ft. DOUBLE – HISIA ZA MOYONI | Download/Listen

New AUDIO | Songa Ft. DOUBLE – HISIA ZA MOYONI | Download/Listen

Rapper kutoka Tamaduni Music hapa Tz anaye tambulika kwa jina la Songa kwenye Tasnia ya muziki wa kizazi kipya ameachia single yake mpya ‘Hisia za moyoni’ feat. Double. Hivyo ukiwa kama shabiki mzuri wa muziki wa Hip Hop, basi chukua time hii kudownload na kusikiliza hii ngoma bila kusahau maoni yako hapa.
Previous articleOfficial Video HD | Kala Jeremiah Ft Roma – Nchi Ya Ahadi
Next articleNew AUDIO | NIKKI MBISHI Ft. BIN SIMBA – Y’ALL DON’T KNOW IT | Download/Listen