Download hapa wimbo mpya kutoka kwa Langa “Wazazi Wangu” akimshirikisha Sanaipei
kutoka Kenya. Wimbo huu ni wimbo wa tatu kati ya nyimbo saba kuachiwa
katika albam yake baada ya “Matawi Ya Juu” na “Hip Hop”, album
iliyotengenezwa na Producer Tedd Josiah kutoka nchini Kenya.
Enjoy!!!