Maojiana na mshindi wa mtunzi bora wa muziki wa hiphop Kili awards
na mmoja wa wasanii wa hiphop wakali bongo ambao tupitia mashairi yake
ameweza tuelezea story yake ya mtaa, leo tunaongea na farid kubanda aka
FidQ kuhusu mchango wa sanaa na wasanii wa kizazi kimya kwenye jamii.
tafadhali tufuate facebook,instagram na twitter @mawazohuru au @anganile
Twitter: @djmwanga
Instagram: @djmwanga
Facebook Fans Page: DJMwanga