New AUDIO | Opportunity – Falenzy | Download

DOWNLOAD via MKITO

https://mkito.com/song/opportunity-remix-ft-deeelsienelliusvallen-bdj-21-antonio-muziqal/12796/bwi-1-28110



Falenzy
ni msanii wa Gospel Kenya ambaye kwa sasa amepata nomination Tatu
katika Groove Awards ambapo wasanii ambao wamebobea Katika Gospel Music
hutuzwa Kila mwaka nchini Kenya.
Msanii huyu amepata nomination Tatu zikiwa Hip Hop song of the year, Collaboration song of the Year and New Artist of the year.
Opportunity Ndio wimbo wake ambao umevuma sana  na pia umefanyiwa remix akiwashirikisha Dee, Elsie Na Nellius ambao ni wasanii chipukizi.



Twitter: @djmwanga     
Instagram: @djmwanga     
Facebook Fans Page: DJMwanga

ad

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *