One thought on “New AUDIO | BAILA Ft. Kala Jeremiah – Story | Download/Listen”
hapa lazima niseme ukweli hii ngoma iko poa saanaa jama iperekeni kwenye studio ichezwe mara kwa mara itapendwa na wengi naamini itauza sana…simfahamu Baila but nampongeza kwa kuimba ..vizuri…i love this song…respect kwa kala jeremiah kwa kutobagua new upcoming artists…keep it up bro.
hapa lazima niseme ukweli
hii ngoma iko poa saanaa
jama iperekeni kwenye studio ichezwe mara kwa mara itapendwa na wengi
naamini itauza sana…simfahamu Baila but nampongeza kwa kuimba ..vizuri…i love this song…respect kwa kala jeremiah kwa kutobagua new upcoming artists…keep it up bro.