Baada ya kukaa kimya bila kutoa ngoma mpya Mkali wa Bongo Flava Q Chief
or Q Chilla jana amerelease ngoma yake mpya inaitwa “For You”
akiizungumzia ngoma hiyo Chilla amesema anatarajia ifike mbali sana kwa
kuvuka nje ya mipaka ya Afrika Mashariki, Afrika na Dunia nzima kwa
ujumla, kwa wakati huu Q Chia ame sign mkataba wa maisha na record label
ya QS inayomilikiwa na mtaalamu wa majengo maarufu anayeitwa Mhonda na
kabla ya ku deal na Q Chilla amewahi ku deal na wasanii wengi wa bongo
flava mfano ni Ney wa Mitego, QS wamepanga kumlipia Chilla Video yenye
gharama kubwa nchini Afrika Kusini chini ya director namba moja wa Music
Videos Africa “GODFATHER” na video itafanyika mwishoni mwa mwaka huu wa
2014 au mwanzoni mwa mwaka 2015 Stay tuned

Twitter: @djmwanga
Instagram: @djmwanga
Facebook Fans Page: DJMwanga