New AUDIO | 909 – NJOO HAPA | Download

Baada
ya mafanikio mbali mbali yakiwemo kuachia Mixtape yao ya kwanza (Here
Goes Nothing), na kuperfom kwenye stage mbali mbali kwa mwaka 2014 sasa
Mwaka unavyoelekea ukingoni,kundi la muziki 909 wanakuetea wimbo wa
kusikiliza na uwapendao msimu huu wa Kristmasi, ikiwa bonus track ya
Album yao inayotarajiwa kutoka mwanzoni mwa mwaka 2015
https://mkito.com/song/njoo-hapa/8851





Twitter: @djmwanga     
Instagram: @djmwanga     
Facebook Fans Page: DJMwanga

ad

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *