Home Uncategorized Timiza ndoto yako sasa na “Free Style Vunja”

Timiza ndoto yako sasa na “Free Style Vunja”

Je, una uwezo wa kutoa Mitindo Huru yani Free Style? Una kipaji cha ku
rap?  Basi kama jibu ni ndio lazima utakuwa unajua nguzo hii ya Hip Hop
“Free Style” . Mchongo upo hivi, Record video fupi isiyopungua dakika
moja ikiwa inakuonesha ukiwa una Free Style, Kisha itume kwa email hii –
[email protected] au WhatsApp – 0765073073. Hakikisha video yako inaonekana vizuri na sauti pamoja na maneno yanatoka vizuri.


Mshindi wa kwanza atapewa (zawadi) nafasi ya kurekodiwa wimbo mmoja bure pamoja na kusaidiwa kwenye Promo / kusambaza wimbo huo.


Nafasi ni yako sasa kuonesha uwezo wako na watu watambue kipaji chako.


Tembelea – http://hassbabytz.com/timiza-ndoto-yako-sasa-na-free-style-vunja/


Asante.


Hassbaby Media Group 2014


Abby Hass


MWISHO