New AUDIO+LYRICS | ENDRU G – SHOLELA | Download

SHOLELA BY ENDRU G[LYRICS]
Sholelaaa….uh badili tabia we,uh badili tabia
wee.sholelaa,badili tabia we sholela sholelaa uyeee..ooh ohh..worker…
VERSE 1
Nikweli umeumbika lady,kila jicho linakuona wewee,uzuri wako
niwakipekee lakini kinachokuponza ni tabiaa, warembo mbona wako wengi eh,ila
moyo umekuona wewee,ah unanigeuza mjinga sababu ninakupenda ahaah, kwani
nilidata na ilo penzi lakoo,ila we unanichuna,amini ukukugana na moyo
gwane,indumbula we bitee X2

CHORUS
ujanja mwingi mbele giza usijione unaweza,sholelaa,dunia hii
tunapita elewa mwisho utafikaa,ujanja mwingi mbele giza usijione
umemalizaa,sholela,dunia hii tubapita elewa miaho utafikaaa
VERSE 2
Uzuri wa usoni ungekuwa na na moyoni,usingepata tababu we niwakuwekwa
ndani,kuliko kubadili awo mabwana every day,wanakutumia na kukuacha,uzuri
wakoo,ingekuwa na moyoni ,usingepata tabu wa ni wakuwekwa ndani,amini today
bora mimi nitembee ,dunia ikakufunze wewe, kwani nilisadata na ilo penzi lako
,ila we ukanichunaa,amini ukukugana na moyo gwane,indimbula we biteee X2
CHORUS
ujanja mwingi mbele giza usijione unaweza,sholelaa,dunia hii
tunapita elewa mwisho utafikaa,ujanja mwingi mbele giza usijione
umemalizaa,sholela,dunia hii tubapita elewa miaho utafikaaa
BRIDGE
Sholela, ujana aufai, sholela, kubadili mabwana , sholela.,
kutembea na wanaume za watu, sholela, ujana aufai hiiiii
CHORUS
ujanja mwingi mbele giza usijione unaweza,sholelaa,dunia hii
tunapita elewa mwisho utafikaa,ujanja mwingi mbele giza usijione
umemalizaa,sholela,dunia hii tubapita elewa miaho utafikaaa
https://mkito.com/song/sholela/3257/bwi-1-2459

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *