New AUDIO | ANGEL BENARD – MIMI NA YESU | Download

Ni wimbo
unaoelezea jinsi ambavyo Mungu ni ukamilifu wa maisha ya mwanadamu. Na
hivyo hakuna cha kuogopa wala wa kumuogopa humu duniani. Kila kitu
kimetoka kwa Mungu, kinapatikana kwake na mwisho wa siku tuna kila
sababu ya kutoogopa na kukiri kwa ujasiri kuwa yote yanapatikana kwake.

ad

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *