Wakati tukisubiri Video Rasmi ya wimbo wa Jambo Squad ft Nakaaya
unaofahamika kwa jina “Naarenduu” fanya kuDownload Mixtape Track toka
“Machalii Wa Ara VOL 1″ ya Jambo Squad kwa jina ” Mama Klaree” HAPA https://mkito.com/song/mama-klaree/3493/bwi-1-5262 Na kwa maelezo/Mahojiano zaidi check na Nao kwa Nambari +255 653 610 249 na +255 762 164 241 follow @odjambo @chaliijambo @jambosquad powered by www.vmgafrica.com @vmgafrica