Redds Miss Tanzania Talent

Reds miss tanzania talent ni tamasha la vipaji kwa washiriki wa
reds miss tanzania litafanyika ijumaa hii ya tar 03/10 …new maisha
club oysterbey.. kiingilii elfu 15 kawaida na elfu 30  kwa maisha
lounge…akiongea meneja wa entertaiment maisha club hemed kavu (hk)
alisema “pia kutakuwa na burudani mbalimbali na show kali kutoka kwa
msanii wa bongo fleva ommy dimpoz… siku hiyo kila kitu kitakuwa
tofauti kuanzia mziki utakaopigwa,stage itakavyojengwa itakuwa maalum
kabisa kwa ajili ya reds miss tanzania talent 2014.

Show hii kali ya kihistoria imedhaminiwa na valley spring, clouds fm radio na tv, efm, na new maisha club…
 
 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *