New AUDIO | Q Chilla Ft. MB Dog – Nipende Nikupende | Download

Baada ya kimya kirefu, Q Chillah amerudi kwa nguvu kubwa akiwa
ndani ya Kampuni ya QS Mhonda J Entertainment, Apex Group Of
Companies,Chini ya Meneja Eric Mbeyale wa Jijini Dar Es Salaam.Na single
yake ya kwanza chini ya Uongozi mpya anaiachia inaitwa Nipende
Nikupende ikiwa imeandaliwa na mtayarishaji C9.
Mahojiano/Mawasilano zaidi check na nambari +255 716 877 764
https://mkito.com/song/nipende-nikupende/2530/bwi-1-846

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *