pesoXgereMixed | Gere[WEUSI] v Peso[Machine Gun Kelly] | Listen&Download

pesoXgere
Taarifa zilizohit kwenye mtandao zinadai kuwa eti
Wimbo wa Kundi la Weusi unaitwa “Gere” eti Mdundo wake ni Copy ya wimbo
wa Msanii wa HipHop kutoka Cleveland Marekani anayeitwa Machine Gun
Kelly
na wimbo wake unaitwa Peso amewashirikisha Ma rapa Meek Mill na
Pusha T uliotoka mwanzoni mwa mwaka 2013 May 22
 Wimbo wa Gere umetoka mwaka huu 2014 January na kufanya vizuri kwenye
chart za Radio mbalimbali sambamba na video ya ngoma hii pia imefanya
vizuri pia.
Machine Gun Kelly 
WEUSI
Sikiliza Hapa Machine Gun Kelly akimshirikisha Pusha T na Meek Mill ngoma inaitwa “PESO”
PamoJa na WEUSI I GERE Zime Fanywa Mixed

http://old.hulkshare.com/dl/v1i4oawhkikg/pesoXgereMixed.mp3?d=1

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *