New AUDIO+LYRICS | Lil Stiggar Ft Chriss Daniel – Like | Download

TRACK NAME; LIKE

LIL STIGGAR Ft Chris Daniel

Pro; Phyno &
King Son

Moja Moja Rec &
Elishadai Rec

Intro;                                                        

I just feel alright,

I just feel the difference,

I just feel so fine the way you like my music,

Verse1;

Zungu zungu zungusha,

Right to the left we zungusha,

Ni like kwenye stage,

Ni like kwenye wall,

Ni like kwenye media,

Ni like complimentary,

Me napenda unavyo like pics zangu,

Me napenda unavyo cheza nyimbo zangu,

Me napenda unavyo cheka na mi,

Ruka na mi,

Unanipa mizuka na mi, uh

Twende sare sare,

Pale kati kuna wale wale,

Twende sare sare,

Pale kati kuna wale wale,

Chorus ;

(Tucheze style ya sondela) *2

Sondela *3

Bridge

Zungu zungusha *8 
(I like the way,I like the way you roll it)*

( I like the way, I like the way you dance)

I feel good when you listening to my song,

I feel like I am high,

When you listening to my music,

Verse 2;

Japo Ghana ni azontal ila kwangu ni style ya sondela,

Ni kali si ya kitoto kama uo mbali au kalibu we sogea,

Kiatu ni sondela,

 shart na tie ni
sondela, *2

basi tucheze ki sondelaaa

REPEAT CHORUS;

I will like this out,

Music  feel it up,

The way you like my style,

Let’s go hit like,

Yeaaah….. ohooo

Ni mimi na ww….

Tunasonga mbele…

Waiteni wale…..

Wa Africa au mbele…..

Hii ngoma kale…..

Wote ( wamekubali…….sondela )*8
http://old.hulkshare.com/dl/ix5d9kpebda8/Lil_Stiggar_Ft_Chriss_Daniel_-_Like.mp3?d=1

ad

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *