New AUDIO | Oscar nyerere Na Dr Mfyuzi Ft Ally Nipishe – Amani | Download

Uncategorized
djmwanga August 22, 2014 0 Comments
Share this post:
Wimbo huu Umeimbwa na baadhi ya waigizaji sauti nchini yani Oscar Petro maarufu kama Oscar
nyerere 
na Shaphii Omary maarufu kama dr.mfyuzi unaosisitiza Amani ya
nchi yetu  Tanzania kwa kutumia sauti ya hayati Baba wa Taifa na sauti
ya raisi wa awamu ya nne dr Kikwete.Wimbo una mahadhi ya kuhutubia
lakini pia una chorus iliyoimbwa na Ally Nipishe toka THT.
Video ipo njiani  inayotarajiwa kutoka mwishoni mwa mwezi huu wa nane 2014.
http://old.hulkshare.com/dl/u47to7eaugow/Oscar_nyerere_Na_Dr_Mfyuzi_Ft_Ally_Nipishe_Amani.mp3?d=1

Download MP3
0:00
0:00