AUDIO+LYRICS | AMINI – ASANTE| Download

VERSE 1

Zile nyimbo ulizosikia sio kama ni idea

ni maisha niliopitia wa karibu ndio wanajua

kila mti nilodandia kumbe matawi yashajiishia

kazi yangu kukesha na dua labda kesho ntajaliwa

kwa huruma ukatokea

maumivu yangu yalikusumbua

magazeti redioni pia

ulinisoma na kunisikia

japo majibu niliyatoa imani zao hazikunisaishia

umekuja kuninasua usinitege ikajurudiaCHORUS

Asante kwa kunipenda na tuombe usiku na mchana x2

na wako ukabanga wee nangu sintopenda tena

dembenje ukaleta wee nangu sintopenda tena

asante kwa kunipendaVERSE 2

Niliweka uzio moyoni kutopenda kwenye dunia

furaha yangu ya barabarani kuonyesha sijaumia

yaniliza mazoea nyumbani nikirejea

kitanda alichonitandikia mpaka leo sijalalia

ukaona uje unipende

maumivu yangu yalikusumbua

magazeti redioni pia

ulinisoma na kunisikia

japo majibu niliyatoa imani zao azikunisaishia

umekuja kuninasua usinitege ikajirudia 
https://mkito.com/song/asante/1814/bwi-1-401