Picha Za Utengenezwaji Wa Video Ya Victoria Kimani Ft Diamond&Ommy Dimpoz – Prokoto djmwanga11 years ago5 years ago Uchukuaji wa video ya wimbo wa muimbaji wa Kenya, Victoria Kimani ‘Prokoto’, ambao kawashirikisha Ommy Dimpoz na Diamond. Video ilifanyika Ijumaa (July 11) jijini Dar es salaam na kuongozwa na director wa Kenya Kevin Bosco. Post navigation Previous: New AUDIO | Baghdad Ft. Dream – Haters | DownloadNext: VIDEO | Linah – Ole Themba | KIONJO