New AUDIO | Barakah Da Prince – Sio Fine | Download @barakahdaprince

Barakah Da Prince Mwanzoni ulimsikia na wimbo
wa Jichunge ambao video yake ilifanywa na Director Nisher kutoka
Arusha,leo July 02 ameamua kuachia wimbo wake ambao kasema ni zawadi
maalum kwa mashabiki wake waliompokea vizuri na wimbo wa Jichunge.

Huu unaitwa Sio Fine amautoa wakati akijiandaa na single yake maalum
itakayotoka October, wimbo huu uliwahi kusikia kwenye vituo vya Mwanza
na kanda ya ziwa ila katika aina tofauti na hii,ingawa haukutoka rasmi
kwa sasa ameamua kuurekodi upya na kwa kiwango bora zaidi ili uweze
kuwafikia mashabiki wote wapya na wa zamani.

http://old.hulkshare.com/dl/ycfj82gqoikg/BARAKAH_DA_PRINCE_-_SIO_FINE.mp3?d=1

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *