New AUDIO | Witnesz & Ochu Sheggy – Think About It | Download

Ukisikiliza ujumbe
vizuri kwenye think abou it utagundua kwamba the track inazungumzia juu
ya uhusiano wetu kwa asilimia 85% na ni track ambayo tulipaswa kuifanya
2008 lakini kutokana na sababu zisizo weza kuzuilika ikashindikana, kwa
kuwa ina version ya Ochu peke yake, Ochu na Fid Q kuanza version nyingne
ilishindikana yeye kurekodi alitaka kuifanya na dada mmoja mjini
Nairobi but all in all ni kama watu walipotezana halafu wakakutana tena
wakati sahihi ulipowadia
Na this track ina very
strong histry baina yangu na Ochu beat imetengenezwa na Lucci hata
sidhani kama atauua anaikumbuka and tumekuja kuimalizia kwenye an audio
studio ambayo oTchunes tunashare inaitwa expensive music by zidady
mwamba as the prodcer na its video comming soonest amnayo tumeifany na
Lbashir, Badifilmz wa Uganda, and bila kusahau tutafanya a launch ya its
video kati kati ya june pia itakua perfomance yetu ya kwanza kama
otchunes ambapo ni jina linalobeba muunaganiko wa Witnesz na Ochu Sheggy
http://old.hulkshare.com/dl/jixrtuf9wzr4/Witnesz___Ochu_Sheggy_-_Think_About_It.mp3?d=1

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *