AUDIO | First godfrey ft kalla jeremiah – Suprise | Download

 
first godfrey hii ni ngoma yangu ya kwanza baada ya kumaliza shindano la
EBSS Bongo Star Search 2013 imetoka rasimi leo  mtandaoni na kwenye
vituo mbalimbali vya matangazo/habari nimeamua kufanya nyimbo hii na
kalla jeremiah kwa sababu 1, mtu ambae ananivutia frow yake pia 2,
anaelewa anafanya nini kwenye game hii ya sasa 3,wote ni washiriki wa
(EBSS) Bongo star Search mpaka sasa hakuna washiriki waliokaa na kufanya
nyimbo moja kwa pamoja;

jina la nyimbo inaitwa; Suprise
majina ya waimbaji; first godfrey ft kalla jeremiah
producer; C91
studio;Spirity
mwaka;04/04/2014
Call        +255716 982 612
 http://old.hulkshare.com/dl/qq1qab3o5erk/first_godfrey_ft__kalla_jeremiah_-_Suprise__produced_BY_C91_mp3.mp3?d=1