Lord Eyes Amesimamishwa Kazi Ndani Ya Kampuni Ya Weusi

Nikki Wa Pili Msemaji Wa Weusi Kampuni amesema Leo mchana kuwa rapper Lord Eyes Amesimamishwa Kazi na Kampuni hio na taarifa zaidi zitatolewa muda ukifikia.
Nikki Amefunguka kuwa Lord Eyes asihusishwa na Kazi za Weusi na Weusi wasihusishwa na Lord Eyes. Taarifa za Lord Eyes Aulizwe mwenyewe na sio Weusi.

Crdt:Sammisago.com

One thought on “Lord Eyes Amesimamishwa Kazi Ndani Ya Kampuni Ya Weusi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *