DISS | Oka ft Josp – DIS DOT COM | Video&Audio

Hii ni video ya msanii
Oka akiwa amemshirikisha Josp katika wimbo unaoitwa DIS DOT COM. Katika
wimbo huu wasanii kama Kala, Roma, Fid Q na wengine wengi wameimbwa humu
ndani na kupewa Dis Live bila uwoga.Audio ya wimbo huu umefanya na Kings Records kutoka jijini Mwanza na video imefanywa na ZE MAKE VIDEOS nayo ni kutoka Mwanza.
 

Chukua dakika zako kadhaa kutazama video hii 

AUDIO HII PAPA CHINI
http://old.hulkshare.com/dl/w2m6mkfnpj40/Oka_D_feat._Jos_P_-_Diss.com%5BDJMwanga.com%5D.mp3?d=1

cdt|SwahilTz

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *