Home Uncategorized Arusha Okoa mtaa Festival 30th March 2014

Arusha Okoa mtaa Festival 30th March 2014

Bofya usikilize HAPA
jinsi Jumapili hii tarehe 30 Machi 2014 Kuanzia saa 9 mchana mpaka saa
12 jioni katika Kiwanja cha Mpira AICC Club pembeni ya Kijenge Round
About kutakuwa na Tamasha la “OKOA MTAA FESTIVAL
BURE kabisa kwa ajili YAKO, yani Kiingilio Mlangoni ndo kitu hamnaga.

Fika kushudia wakali wa Grafitti, Deejaying, Break Dancing, Free-styling
& Beat Boxing pamoja na Live Band katika performance ya KINGS wa
SUA Jukwaani kwa hisani kubwa ya Okoa Mtaa Foundation, Alliance Francaise Arusha, Idea Africa, Aqua Sounds, Tia Nuru, Kumkichwa, Wachata Crew, UAACC, VMG Africa, Radio 5, Mambo Jambo Radio, Watengwa Recs, Kazawaza Recs na Noizmekah Productions Arusha, OKOA MTAA FESTIVAL the place for Peace,Love,Unity and Happiness..Ukikosa itakua ni Mambo Mbayaaa!!!!

Previous articleAUDIO | Ally Nipishe – Yule_Yule | Download
Next articleAUDIO | BHB ft Small J(MASAUTI) – najiamini | Download