AUDIO | MADY ft YOUN $ADALLA – USINIACHE | Download

hello tanzania namtambulisha kwenu MADY B msanii toka kundi la Sm@rt
Boyz wale walotamba kanda ya ziwa na track inaitwa wanadata.sasa amekuja
na track inaitwa USINIACHE toka katika Solo project yake.
YAPE MASKIO YAKO NAFASI YA KUMSIKILIZA
Kwa ufadhili,shows na mengineyo check nae kwa contact zilizopo kwenye cover art
BY JULIAN DAMAS(MTOTO WA MWENYE DUKA) PRESENTER SAUT FM 96.1Mhz MWANZA TZ
http://old.hulkshare.com/dl/yl854ig08zy8/MADY_ft_YOUN_%24ADALLA_-_USINIACHE_bY_DJMwanga.com.mp3?d=1

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *