Home Uncategorized AUDIO | Albert Mangwea[Ngwair] feat Mirror – ‘Alma’ | Download

AUDIO | Albert Mangwea[Ngwair] feat Mirror – ‘Alma’ | Download

0
Ikiwa ni miezi nane imepita tangu afariki mkali wa mitindo huru, Albert Mangwea aka Ngwair, wimbo wake mpya alioupa jina la ‘Alma’ alitarajiwa kuachiwa rasmi February 14, 2014 ambayo ni siku maalum ya wapendanao (Valentine’s day) Hunaweza udownload Hapa Na KuuskiLiza .
http://old.hulkshare.com/dl/qqb414qbfr40/Ngwea_feat_Mirror_-_Alma_By_DJMwanga.com.mp3?d=1