New AUDIO | GEEZ MABOVU FT. MAU – AM ALIVE | DownLoad

ARTIST:GEEZ MABOVU FT. MAU

SONG:AM ALIVE

STUDIO:BANTU MUSIC(IRINGA)

PRODUCED BY GERALD&NELLY

Huu
wimbo ni spacial kwa wote walio amini kuwa Geez Mabovu atakata pumzi
baada ya kuanguka zaid ya mara tano na kulazwa katika hospitali ya mkoa
IRINGA.Hivyo kutokana na kauli za watu wachache zilizo onesha kua zina
kashfa ndani yake hii ni moja ya ‘Shut up yo mouth” Bantu music iliyopo
mkoani hapo imehusika sana na kusimamia mdundo mkali wa ngoma hiyo!!

http://old.hulkshare.com/dl/yf4bgfo3t69s/GEEZ_MABOVU_FT_MAU-AM_ALIVE_By_DJMwanga.com.mp3?d=1