New AUDIO | Bob Haisa-Unisamehe (kisukuma) | Download

“Mzee Nelson Mandela alikuwa Mwalimu wa somo la Msamaha najifunza
mengi kutoka kwa mja huyu na tarehe 15/12/13 ni siku ya safari yake
kwenda kwenye marejeo yake.Nimeuchagua
wimbo wa Msamaha uwe sindikizo lake na kwa msisitizo naweka toleo la
unisamehe niliouimba kwa lugha ya kisukuma.R.I P Madiba” Bob Haisa

http://old.hulkshare.com/dl/ax45d4vpmfwg/Bob_Haisa-Unisamehe_%28Kisukuma%29_2.mp3?d=1