Trak mpya kutoka kwa Tash A.k.A Masai tozi …..ikiwa imetengenezwa chini ya producer Mesen Selekta itasikika soon,wapenzi mashabiki wa Tash Mzee wa MuleMule wakae mkao wa kula maana ni historia mpya pia ndani muziki huu…………