Download | Play Now

New AUDIO | Sultan wa Pwani – Umekula Huu | Download

Sultan wa pwani ni msanii mwenye uwezo wa kuimba na kuchana pia vile
vile kwa sahiv amerudi tena na kibao kipya kwa jina umekula huu. Chini
ya studio za thundersound producer akiwa ni morbiz. Mtindo ukiwa ni wa
tofauti na pia ubunifu wa hali ya juu. Wimbo unaongelea mtu kakudharau
af mambo yakiwa yananyokea kidogo anaanza kama kujipendekeza kwako.
Fanya kuupa skio na shavu mdau. Nashkuru sana.
http://old.hulkshare.com/dl/pudis57yaxvk/SULTAN__WA_PWANI__-__UMEKULA_HUU.mp3?d=1