Chipukizi Sharo-P akimshirikisha B-Ommy wakiwakilisha Singida katika ngoma “Wanajua” ikiwa ni kazi ya mahadhi ya bongofleva, Pata kuisikiliza na kudownload HAPA na kwa mawasiliano zaidi check na Sharo-P kwa nambari +255 759 737 489 na B-Ommy kwa +255 753 849 151