Msanii
Hard Mad ameachia wimbo Aliouita ‘Naishi Ghetto’ akiwa amejivika
husika ya Yahaya aliyeibwa na Lady Jay Dee. Wimbo huu umetengenezwa na
mdundo ragga ukiwa na Melody ya komando ya Jide na wimbo umetayarishwa
na producer wa studio za Over Classic zilizoko Jijini Mwanza .